16لَهُم فيها ما يَشاءونَ خالِدينَ ۚ كانَ عَلىٰ رَبِّكَ وَعدًا مَسئولًا Watayapata humo wayatakayo daima dawamu. Hii ni ahadi juu ya Mola wako Mlezi, inayo ombwa.