24أَصحابُ الجَنَّةِ يَومَئِذٍ خَيرٌ مُستَقَرًّا وَأَحسَنُ مَقيلًا Watu wa Peponi siku hiyo watakuwa katika makaazi bora na mahali penye starehe nzuri.