47وَكَذٰلِكَ أَنزَلنا إِلَيكَ الكِتابَ ۚ فَالَّذينَ آتَيناهُمُ الكِتابَ يُؤمِنونَ بِهِ ۖ وَمِن هٰؤُلاءِ مَن يُؤمِنُ بِهِ ۚ وَما يَجحَدُ بِآياتِنا إِلَّا الكافِرونَ Na namna hivi tumekuteremshia Kitabu (cha Qur'ani). Basi wale tulio wapa Kitabu (cha Biblia) wataiamini (Qur'ani), na miongoni mwa hawa (washirikina) wapo watakao iamini. Na hawazikatai Ishara zetu isipo kuwa makafiri.